Katika hali isiyo ya kawaida,majirani na jamaa wa mrehemu wamesusia kuzika mwili wa mtoto mdogo kwa sababu za kisiasa,hayo yametokea katika shehia ya wazo pemba ambapo sheha wa shehia hiyo alipoulizwa kuhusu kutokea kwa tukio hilo alisema kuwa yuko njiani kuelekea kwenye tukio hilo.
